Dataset Viewer
Auto-converted to Parquet Duplicate
text
large_stringlengths
1
2.03M
source
large_stringclasses
12 values
ukweli ni kwamba dalili za ndoa hiyo kufanyika mwaka huu hazipo baada ya hivi karibuni kuripotiwa kuwa wameachana, hivyo kwa wiki hii moja iliyobaki kuingia 2017 ni asilimia chache wawili hao kurudiana na hatimae kufunga ndoa.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
katika kutostukia nyege za upuuzi mpaka baadaye ki.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
abe, yaendesha mazungumzo kuhusu elimu na ajira kwa vijana wa kitanzania
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
akizungumza na waandishi wa habari jana kaimu kamanda wa polisi mkoani mwanza nonosius komba alisema watu hao walikamatwa katika vipindi tofauti na maeneo tofauti na polisi wa doria
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Sasa angalia Danieli 7:18: “Lakini watakatifu wake Aliye juu wataupokea ufalme, na kuumiliki huo ufalme milele, naam hata milele na milele.” Kisha fungu la 22 husema, “Hata akaja huyo Mzee wa Siku [hapa ni Kristo, na Baba ametajwa kwenye fungu la 13], nao watakatifu Wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia w...
Mollel/swahili_pretrain_data
akisoma taarifa ya ukarabati wa mradi huo, meneja uwekezaji wa zssf, bw. abdulaziz ibrahim idd amesema ukarabati huo ulianza julai 2019 na unatarajiwa kukamilika machi 2020.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
"huenda ikawa umetoka nyumbani kwa furaha tele moyoni. kuvalia nguo na viatu za kuvutia na una elekea kupatana na mtu fulani. ukiwa katika safari yako kuelekea mahala pale unajikwaa na kuumiza mguu wako wa kushoto. watu wana amini kuwa hiyo ni ishara kuwa kitu kibaya kitatendeka. unapo enda na jambo mbaya linatokea, un...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
wizara tayari imekwisha fanya savei na imeonekanakuwa nzige wengi watazaliana katika maeneo ya mabonde ya iku katavi malagarasi na wembere kaskazini
ngusadeep/Swahili-Corpus-Dataset
Anaongeza kuwa kupitia Mpango wa Matumizi bora ya ardhi utaratibu wa mgawanyo wa rasilimali za ardhi huweza kufanywa kupitia majadiliano na makubaliano ya wahusika wote yaliyojengwa katika vipaumbele, uwezo, utamaduni na maarifa ya wenyeji kwa kuzingatia ushauri wa wataalamu.
Mollel/swahili_pretrain_data
magombera ni msitu wa asili ulioko eneo la hifadhi ya udzungwa mpakani mwa mikoa ya morogoro na iringa.
Benjamin-png/swahili-normalized-corpus
"masuala muhimu yatajadiliwa, ikiwa ni pamoja na marufuku ya miaka 11 sasa dhidi ya mauzo ya nyama ya kuku katika umoja wa ulaya, na ukweli kwamba marekani inaruhusu raia wa baadhi ya mataifa ya umoja wa ulaya lakini sio mengine kuingia katika ardhi yake bila visa. mada nyingine nyingi nyeti , hususan zile zinazohusian...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
"akijibu swali la mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya bukoba aliyehoji anayepoteza kadi ya mpiga kura anachukuliwa hatua gani kumuwajibisha, bw. kawishe alisema hakuna hatua yoyote inayochukuliwa dhidi yake."
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
"""tarehe 9 may 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya kitanzania kimaadili"
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
wamesema shia inajuzu kumwingilia hata kabla ya kuoga kwa vile ndio ufahamu wa tamko tuhr watoharike. ama kujitoharisha hiyo ni kazi ya wanawake ambayo inakuwa baada ya tohara (kwisha damu).
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Alianza kujihusisha na muziki 1959 akiwa mtunzi, mwimbaji na mcheza shoo akiwa katika bendi ya African azz, iliyokuwa ikiongozwa na Kabasele.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
"kuna kila dalili, kuwa tunakokwenda ni kubaya. tumefika mahala sasa, kuwa kwenye siasa tunaingiza hulka za ushabiki wa simba na yanga. hii ni hatari kwa taifa."
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Early models of the cosmos placed our species at the center. The Earth was the nexus of all existence, and we, the purpose for everything. It was a reasonable assessment, based on the evidence we had. From the perspective of a terrestrial observer, the Sun, Moon, planets, and stars appear to trace paths around us. Upon...
HuggingFaceFW/fineweb-edu
22 na mfalme wa Kedeshi, mmoja; mfalme wa Yokneamu wa Karmeli, mmoja;
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
lakini huu ni mfano mmoja tu ambapo jk angalau aliweza kuzungumzia wizi/ufisadi katika serikali yake na swali langu labakia pale pale.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Lengo la makubaliano hayo ni kudhibiti madhara ya mihadhara hiyo ambayo imeonekana inachangia uchochezi wa ugaidi na uvunjifu wa amani.
Adeptschneider/CiviVox-Swahili-text-corpus-v2.0
"meneja uhusiano wa mfuko wa pensheni wa ppf, lulu mengele, (kushoto), na afisa wa fedha mwandamizi wa mfuko huo, angel mukasa, (kulia), na mfanyakazi mwingine wa mfuko huo, omari bundile, (wapili kushoto), wakigawa mafuta maalum yanayotumiwa na watu wenye ulemavu wa ngozi, pamoja na sare za shule na viatu kwa wanafunz...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
hii ni kutokana na kuamua kuwazimia simu, jambo lililowafanya mabosi wake kufanya msako wa nyumba kwa nyumba ili kumpata wajue tatizo lake.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
hata bila kuweza kujibu maswali haya, naweza kutaja kuwa sala za taizé ambazo kwangu mimi zinaonekana kama kitu kinachowakumbusha vijana kutafuta ukweli juu ya kitu fulani: sala rahisi kwa mtu yeyote, sala ya tafakari, sala ya moyoni.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya TEHAMA na Elektroniki kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakimsikiliza mgeni rasmi (hayupo pichani) wakati wakisubiri kukabidhiwa vyeti vyao mara baada ya kumaliza mafunzo hayo katika chuo cha VETA Kipawa ICTC.
Adeptschneider/CiviVox-Swahili-text-corpus-v2.0
Kutokana na mzozo huo wanyama wamejifunza kutambua sauti na lugha ambazo wanahisi ni maadui na tishio kwa usalama wao.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
What is JSON? JSON is the data transfer format used by Google Sheets, and many other services. This is the format that allows your Voiceflow skill to transfer data to your Google Sheet. JSON looks like this: It is separated by semi-colons and commas. You can think of JSON structure like a library with many layers of in...
HuggingFaceFW/fineweb-edu
dk tiboroha, madega, igangula, kevela wajitosa kumrithi manji
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
"jamani leo nataka kuongea na wamama haswa wale wenye watoto wa kike, hivi mama unapobeba mimba na kujuwa kama unamtoto wa kike ama baada tu ya kujifungua ukaambiwa hongera unamtoto wa kike hivi nini kinakuja katika akili yako????"
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
pemba pia kuna misitu na vivutio vingi vya watalii lakini bado hakujawa na mikakati ya kuimarisha utalii huo
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
kwenye picha ya kwanza john malecela amekaa pembeni ya sidney poitier
ngusadeep/Swahili-Corpus-Dataset
"mkurugenzi mkuu wa tawa, dk james wakibara alitoa jijini arusha, wakati akizungumza na juu ya matukio ya ujangili nchini na jitihada za kumaliza matukio ya ujangili ambazo zinafanywa na serikali na wadau wa utalii."
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
DUKA LETU LIPO MAKUTANO YA MTAA WA NDANDA NA AGREY KARIBU KABISA NA CHINA PLAZA
Mollel/swahili_pretrain_data
Ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 9 Mei 2012, saa 17:49.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
muongozaji mdahalo huo wa nafasi ya mtoto wa kike kwenye jamii mkurugenzi mtendaji wa (cvf) ndg. george david maarufu kwa ambassador angelo(wa pili kulia) akiendelea kutoa mwongozo
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
alisema elimu ndiyo njia pekee ya kuwakomboa wananchi hivyo lazima waikazanie.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
import MudCommand class cmdColor(MudCommand.MudCommand): def __init__(self): MudCommand.MudCommand.__init__(self) self.info['cmdName'] = "color" self.info['helpText'] = '''Lets you toggle color on or off.''' self.info['useExample'] = '''color on/off''' def process(...
ajibawa-2023/Python-Code-Large
Shangazi wa mwanafunzi huyo, Sophia Mwakabenga akiwa na na jirani yake Bombaga Kitwika baada ya kufika eneo hilo,kwa nyakati tofauti walilihusisha tukio hilo na iamani za kishirikina.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Ni vigumu zaidi kusema lini shairi fulani lilianza kuonekana katika hali ya maandishi.
Mollel/swahili_pretrain_data
Testosterone is the main androgen secreted by the testes, and the testes are the major source of circulating androgens in males. Testosterone is present in the body in 3 forms: free testosterone (FT), albumin bound testosterone, and testosterone bound to serum hormone binding globulin (SHBG). Albumin bound testosterone...
HuggingFaceFW/fineweb-edu
sheikh ponda alisema hivi karibuni alikuwa nchini kenya kumjulia hali lissu ambapo ajenda yake ilikuwa ni kumwombea dua, kumjengea matumaini ya afya yake, kujenga mazingira endelevu ya harakati zake kwa umma na kujenga mazingira ya kuzungumzia tukio lililomkuta mbunge huyo.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
GuangDong aliongoza taa wauzaji na taa za LED, balbu za LED na mihuri, diodes, mfumo wa taa za auto, taa za LED, taa za LED, taa za likizo, vidole, taa za barabara, taa za dari, taa za ukuta, taa za bustani, taa za taa, taa za taa, doa za mwanga, ukuta wa mwanga wa LED , LED mwanga mafuriko, LED pannel mwanga, mwanga L...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Chimbuko la lugha ya Kiswahili ambayo Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliipitisha kuwa lugha rasmi ya nne, ni Tanzania na hiyo, ndiyo lugha inayokua kwa kasi zaidi barani Afrika huku mataifa ya nje yakiitambua kama lugha ya Afrika.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
"ukiachana na ubora wake wa kucheza eneo la pembeni la safu ya viungo watatu, lemar ni kiungo mchapakazi na arteta hupenda wachezaji wanaozingatia nidhamu kubwa pindi wanapocheza bila mpira katika himaya yao."
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
mapadiri wanasema fata ninenayo husifate matendo yangu hapa tunaangalia ujumbe wa shyrose si umalaya wake hata haowanasiasa wana ya kwao maovu nje ya uwanja wa siasa
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
7 months ago Comments Off on Waziri Mhagama atangaza sheria mifuko hifadhi jamii kuanza kutumika
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
wiki hii serikali ya tanzania imetangaza kuwapatia uraia wakimbizi zaidi wa burundi wapatao 54,000 ambao wako katika kambi ya bulyahulu mkoani tabora. wakimbizi hao waliingia tanzania katika miaka ya 1970 wakikimbia machafuko yaliyozuka nchini mwao. pia serikali ya tanzania imetoa uraia kwa wakimbizi wengine kadhaa wal...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
One day, a boy and a girl went to the park to play. They saw a big pile of stones near a pond. The boy said, "Let's name the stones and throw them in the water." The girl said, "OK, but be careful not to hurt the fish." The boy picked up a stone and said, "This stone is fierce. It is big and sharp and strong. I will na...
karpathy/tinystories-gpt4-clean
Ngoma hiyo, ina vionjo adimu ambavyo ni rahisi kumuuza AY kwenye anga za kimataifa, pengine kuliko wimbo wake wowote ule.katika wimbo huo amewashirikisha wasanii kutoka nchini kenya wanajulikana kama Sauti SoulMwanamuziki huyo mwaka jana aliweza kusafiri mpaka nchini marekani na kufanya Track Lil Romeo Ngoma ambayo ili...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Once upon a time, there was a little human named Tim. Tim liked to play outside. One day, Tim saw a big cat. Tim's mom said, "Be careful, Tim. That cat is not nice." She wanted to warn him. But Tim did not listen. Tim went to the cat and said, "Hi, cat!" The cat looked at Tim. The cat did not like Tim. The cat bit Tim....
karpathy/tinystories-gpt4-clean
Baada ya kukiri sehemu ya fedha zilizobaki kwenye akaunti ya TFF ilipelekwa kwenye vilabu vya ligi kuu kupitia kamati ya ligi, Angetille Osiah amesema wana uhakika sehemu ya fedha iliyochukuliwa na TRA itarejeshwa kwa wakati kufutia mazungumzo waliyoyafanya dhidi ya serikali pamoja na TRA
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
"amesema ili kukabiliana na tatizo la njaa linalowakabili wakazi wa tarafa hiyo, kwa kuanzia serikali itaipatia kila kaya magunia matano kila baada ya miezi sita wakati ikitafuta suluhisho la kudumu la tatizo la njaa linalowakabili wakazi hao wanaokadiriwa kufikia kaya 20,000.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Usiamini kwamba ukiishi na MTU miaka 20 ukampa moyo na mwili wako wote ukaongeza na maini na wakati wako wote basi ndio wako milele na hatakutenda….
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
mheshimiwa naibu spika, napenda sana nimwulize ndugu yangu mheshimiwa tizeba, kaka yangu, tena rafiki yangu sana; mambo haya yangefanyika kule buchosa, yeye angekubali? yeye ana visiwa kule; vingeuzwa visiwa vya buchosa angekubali? kwa sababu kila siku namwambia kitu hiki hiki kimoja hataki kusikia, kwa nini? tunataka ...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
“Mara nyingi imeshuhudiwa wanawake kabla ya kugombea wakiitwa majembe, kwenye vyama Fulani vya siasa lakini wakichukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi za uongozi, wanachimbwa na kuwekewa kashfa nyingi, wanatishwa na hata kufanyiwa mambo ya hovyo, awamu hii CCM
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Juu ya meza hii niliona sanamu kubwa iliyokuwa imechongwa bila shaka na Mmakonde.
Mollel/swahili_pretrain_data
Danile Sturridge akishangilia bao lake aliloifungia England
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
kinana : miaka ishirini ya ushabiki wa kisiasa moshi mjini inatosha
Benjamin-png/swahili-normalized-corpus
Pia, aliwataka waathirika wa tukio hilo na wananchi kwa jumla kuwa watulivu wakati vyombo vya dola vikiendelea na upelelezi, hivyo kuwataka wenye taarifa zinazoweza kuwasaidia katika kupeleleza waziwasilishe.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
hiyo ilikuwa inawezekana. Lazima kutakuwa na kitu haiwezekani aende akachukue fedha kwa utaratibu ule ngoja tusubiri tutasikia amefuata nini,” alisema Charles.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
nimeishia ulipomtaja jiwe chuki siyo nzuri alafu kila mtawala anakuwa na maono yake
ngusadeep/Swahili-Corpus-Dataset
“una baadhi ya watu wanafikiri kuwa nampiga vita zitto, siwezi kumpiga vita zitto kwa kuwa nimemlea, amekula na kulala nyumbani kwangu nami ndie nilimshauri kugombea ubunge na kumpa fedha pamoja na gari, iweje leo nimpige vita?” alihoji mbowe wakati akijibu swali hilo.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
imekua ni kawaida wanaume na wanawake kulaumiana kuhusu nani hasa ambae sio mwaminifu katika ndoa,lakini hebu tujiulize uaminifu tunaouzungumzia ni upi ni ule wa kushiriki tendo la ndoa na mtu ambae sio mwanandoa au kushiriki tendo ndoa kinyume na asie kuwa umefunga nae ndoa?kwa mujibu wa abrahamic religion kushiriki t...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
wapo waliotamani miaka 48 ya kifo cha mzee karume itumike kama njia ya kielelezo cha kushudia malumbano yasiyo na tija eti kwa vile wanao ni wenye kuonewa dhidi ya wale wengine.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
African Community inakuwaka ina nisaidiya pamoja nama Pastor ila lakini Haitosheleye, kufwatana maono niliyo nayo.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
tanzania. kwa ujumla na kwa msisitizo wake, ibara ya nane(moja) (b) inabainisha wazi
Benjamin-png/swahili-normalized-corpus
‘Mpende jirani yako kama nafsi yako’, hii ni ngumu sana kwa binadamu wa leo, mitume wetu wa zamani wengi wao waliweza.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
je, bet juu ya matukio ambapo don & rsquo; hawana kujulikana. takwimu kamwe kuchukua nafasi ya video. na & rsquo; image, unaweza kugundua wakati timu inaonekana na bet kwa wakati unaotakiwa. pamoja na mkondo kuishi 1xbet, utakuwa sana kuongeza mapato yako.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
home matukio spika ndugai: suala la matibabu ya tundu lissu ni jipya na linahitaji muda
Benjamin-png/swahili-normalized-corpus
"11 leo, ni lazima watenda dhambi wanaotubu wachukue hatua ili wanufaike na rehema za mungu. ni lazima tuache kabisa mazoea ya kufanya dhambi, yaani, tuache kutenda dhambi nzito, na vilevile dhambi ndogo-ndogo ambazo mara nyingi huongoza kwenye dhambi nzito. mtume paulo aliongozwa na roho kuandika hivi kuhusu wakristo ...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
For a casual visitor, it may often appear like there’s not much to see in the Caledonian Forest in winter. By then, all the leaves have fallen from the deciduous trees, many birds have migrated south for the winter and insects have gone into pupal stasis, out of sight. My experience, however, is that there is in fact s...
HuggingFaceFW/fineweb-edu
 Kuajiriwa mwenye Shahada/Stashahada ya Juu katika fani Teknolojia ya Uchapaji (Printing Technology) kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Vyuo Vikuu vingine vinavyotambuliwa na Serikali.
Adeptschneider/CiviVox-Swahili-text-corpus-v2.0
Lakini pia rasharasha hizo za mvua zilikupeni hali maalumu ya uchangamfu </p><p><br />na kukuwekeni tayari kwa vita pamoja na kukutoeni kila aina ya wasiwasi wa shetani juu <br />ya kushindwa katika vita hivyo.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
"kadhalika kambaya alisema cuf imeshajipanga na kuhakikisha inaziba mianya yoyote ya wizi wa kura kuanzia kwenye daftari la wapigakura hadi katika ujanja wa kuwapigisha kura marehemu, askari na wanajeshi kama inavyodaiwa kufanyika zanzibar."
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
usikute wala sio mama mkwe aliyepokea huo mshiko..... si ajabu kakwambia mama mkwe akijua hutoweza kumdai...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
mmmh majanga jamani ni nni hiki, kwani watu tunashindwa kujituma na kufanya kazi kwa bidiii mpaka tukabana na kuibiana tena mbaya zaidi wengine huumizwa vibaya.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Mh rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali basi tunakuomba pia uguswe na umwachie aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, kwani kus...
AlexLeoTz/swahili_large_corpus_i
19:15 Upanga mkali hutoka kinywani mwake, na kwa upanga huo atawashinda mataifa.
Adeptschneider/CiviVox-Swahili-text-corpus-v2.0
zile ajira 52000 zimepotelea wapi?leo zipo 15000 afu nazo kuna uwezekano zikafikia ajira 1000.mwisho wa siku utaskia tutaajiri mwakani kuna mambo tunaweka sawa
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
katibu wa nec siasa na uhusiano wa kimataifa dk.asha-rose migiro akishiriki uchimbaji wa msingi wa vyumba vya maabara ya shule ya sekondari mchoteka wilayani tunduru.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Mbowe amesema Serikali inaendeshwa kwa hila kwani licha ya uchaguzi kufanyika siku ambayo si ya kazi, Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, alikataa barua iliyoandikwa na madiwani Jumamosi Oktoba 22 kuzuia uchaguzi huo kwa kudai kuwa si siku ya kazi.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Mheshimiwa Mwenyekiti, vilevile mtazame uwezekano wa kurudisha hivi vyanzo vya mapato ambavyo vimeondolewa kwenye Halmashauri. Kwa sababu tunapopunguzia capacity ya Halmashauri ya kifedha maana yake na tumeamua kwenda na approach ya D by D shughuli za maendeleo na hali ya uchumi kwa wananchi wetu ni ngumu. Ni muhimu sa...
Mollel/swahili_pretrain_data
"afisa katika ofisi ya rais wa somalia ameiambia bbc kuwa ziara ya rais sharif inatokana ni juhudi za mjumbe maalum wa umoja wa mataifa wa masuala ya somalia, balozi augustine mahiga, ambaye anajaribu kuzileta pamoja pande hizo mbili ingawa hakutoa ufafanuzi zaidi."
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Ngoja nijaribu kutunga jinsi ya kuwa bilionea kwa hii 500.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
baada ya kusafisha tumbo, fanya vidonge vidonge kadhaa vya kaboni;
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Kwa kifupi tu; kuna aina nyingi za mfumo wa namba:-
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
imetumika nje ya nchi nissan 1999 manual kinondoni, mikocheni dar es salaam
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Unaweza kuelezea mimi umuhimu wa usajili wa injini ya utafutaji?
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Abel ambaye aliambatana na mkewe walitoa vifaa vya zahanati vikiwemo vitanda na madawa ambavyo kwa ujumla wake, vimegharimu fedha za kitanzania shilingu milioni 10.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
haya! karibu sana mzee wangu. tena umeona nimeongeza viungo vya interwiki kule katika makala ya "shirika la kimataifa la usafiri wa anga" kule wikidata!--mwanaharakatilonga sita:ishirini na tisa, ishirini na tano juni elfu mbili na kumi na tatu (utc)
Benjamin-png/swahili-normalized-corpus
"Tusifanye siasa kwenye hili. Vifurushi hivi ni kupitia utaratibu wa HIYARI sio lazima. Pili, havijafuta Bima ya Afya ya Jamii (CHF) ambapo kiwango cha kuchangia kwa mwaka ni shilingi 30,000 kwa kaya ya hadi watu 6. Aidha, vifurushi vya watoto, Wakulima nk. bado vipo." Ameandika Ummy Mwalimu katika ukurasa wake wa Twit...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
jeshi la polisi mkoa wa mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua k...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
meneja huyo wa irs kanda ya zanzibar, bw. salum amefafanua kwamba, mbali na idadi hiyo ya vifo kwa watoto, kati ya watu themanini,sifuri wanaopoteza maisha mbali mbali, kati yake asilimia arobaini wanakufa kwa ugonjwa huo wa malaria.
Benjamin-png/swahili-normalized-corpus
umoja: kama hivyo ndivyo, kimsingi unachokisema hapa ni kwamba hukupaswa hata kula kiapo cha kuukana uraia wako?
Benjamin-png/swahili-normalized-corpus
kimataifa, nahodha huyo wa gabon atataka kuusahau mwaka huu - hakufanikiwa sana na klabu yake ilikuwa taifa la nne mwenyeji wa kombe la mataifa ya afrika kuondolewa kwenye michuano hatua ya makundi. hii ni licha yake kuwafungia mabao mawili katika mechi tatu.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
wavumbuzi inventors blogs affiliate blogs affiliate marketing blogs affiliates affiliate marketing wavumbuzi habari na wavumbuzi tips habari wavumbuzi tips wavumbuzi huru uvumbuzi kujitegemea wavumbuzi blogs mzushi ujasiriamali wajasiriamali biashara ndogo ndogo wamiliki wa biashara ndogo kujitegemea wavumbuzi vikao us...
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
Mwanzo > Untagged TIMU ZA MISRI ZAENDELEA KUTAMBA AFRIKA, WADI DEGLA YAWAKALISHA DJOLIBA KOMBE LA SHIRIKISHO
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
kikwete is grown up now, now he is acting like a real president.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
jaji maraga alidinda kuzungumzia hatua ya dkt matiang’i, inpekta jenerali wa polisi joseph boinnet na katibu wa uhamiaji gordon kihalangwa kupatikana na hatia ya kudharau mahakama kwa kumfurusha miguna, jaji maraga alisema kuna mianya ambayo serikali inaweza kukataa rufaa dhidi ya uamuzi huo endapo haikuridhika nayo.
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
maji maji au ute unaotoka kwenye uke ni sawa kabisa, lakini wanawake wanapaswa kutafuta usaidizi wa kimatibabu wakigundua lolote kati ya yafuatayo:-
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili
gatundu ni mji uliopo eneo la kati la kenya katika kaunti ya kiambu. mji huu una umaarufu kwa kuwa rais wa kwanza wa kenya, jomo kenyatta na mwana wake rais uhuru kenyatta, waliishi karibu na hapa. unapatikana juu ya kilima kilichozingirwa na mto thiririka na mto muthurumbi.
Benjamin-png/swahili-normalized-corpus
End of preview. Expand in Data Studio

Swahili Large Corpus (v1) - 5.75 Billion Tokens

Overview

The Swahili Large Corpus (v1) is one of the largest and most diverse open pretraining datasets for the Swahili language. It was engineered for training compute-optimal large language models (LLMs), combining multiple high-quality Swahili and multilingual sources into a single, rigorously deduplicated Parquet dataset.

Following Chinchilla scaling laws (D = 20N), this corpus is ideally suited for training a compute-optimal model of approximately ~287 Million parameters.

All data in this corpus has been globally deduplicated using exact SHA-256 content hashing to remove identical documents across all sources.


Real-World Implementation: Zuhura 289M

This dataset served as the primary pre-training foundation for Zuhura 289M, a Swahili-centric LLM.

Training Metrics (Zuhura 289M Base):

  • Total Tokens Processed: ~5 Billion
  • Hardware: Single instance of NVIDIA A100 40GB
  • Total Steps: 37,400
  • Final Pre-training Loss: 2.723
  • Epoch: ~1.0

The success of Zuhura 289M validates the high quality and diversity of this corpus for building fluent, context-aware Swahili language models.


Dataset Specifications

  • Total Tokens: ~5.751 Billion (GPT-2 tokenizer)
  • Total Unique Documents: 52,713,713
  • Average Tokens per Document: ~109
  • Format: Optimized Parquet Shards
  • Primary Language: Swahili (sw)
  • Secondary Language: English (en), Code
  • Split: Train (90%) / Validation (5%) / Test (5%)

Data Sources

The dataset is a mixture of the following sources, all globally deduplicated after merging:

Swahili Forum Discussions (1.317B tokens — original contribution)

Web-scraped long-form discussions from JamiiForums, the largest Swahili-speaking online community platform. Covers politics, culture, religion, health, sports, and everyday life. This is the original contribution of this dataset, collected and cleaned by the dataset author. The raw scrape produced ~9B tokens, which after global exact deduplication yielded 1.317B clean, unique tokens across 1,144,358 documents.

Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili

A Swahili monolingual pretraining corpus from the Inkuba project, focused on African language NLP.

Mollel/swahili_pretrain_data

A community-contributed Swahili pretraining text dataset.

Benjamin-png/swahili-normalized-corpus

A normalized Swahili text corpus with preprocessing applied for improved text quality.

ngusadeep/Swahili-Corpus-Dataset

A general Swahili corpus dataset for NLP research and language model training.

Adeptschneider/CiviVox-Swahili-text-corpus-v2.0

A Swahili text corpus derived from audio transcriptions and civic discourse content.

mwitiderrick/swahili

A Swahili language dataset for pretraining and fine-tuning language models.

community-datasets/swahili_news

A dataset of Swahili news articles covering local and international topics.

wikimedia/wikipedia (20231101.sw)

The November 2023 Swahili Wikipedia snapshot. Provides factual, structured, and formal encyclopedic Swahili prose.

karpathy/tinystories-gpt4-clean

A dataset of short, simple English stories generated with GPT-4. Included to improve narrative comprehension and creative language understanding across languages.

HuggingFaceFW/fineweb-edu (sample-10BT, 1M rows sampled)

A high-quality filtered subset of English educational web content from the FineWeb project. Only 1 million rows were sampled to improve cross-lingual transfer and general reasoning.

ajibawa-2023/Python-Code-Large (1M rows sampled)

Python source code from open-source repositories. Included to enhance logical reasoning and structured thinking capabilities. Only 1 million rows were sampled.


Processing Pipeline

  1. Ingestion: Each source was loaded and normalized to a unified text field schema.
  2. Quality Filtering: Documents shorter than 50 characters were removed.
  3. Global Exact Deduplication: SHA-256 content hashing was applied across the entire combined corpus. Identical documents are removed regardless of which source they came from.
  4. Shuffle & Split: Deterministic shuffle (seed=42) followed by a 90/5/5 train/validation/test split.

Statistical Summary

Feature Value
Total Tokens ~5,751,000,000
Total Unique Documents 52,713,713
JamiiForums Contribution 1,144,358 docs / 1.317B tokens
Average Chars per Token 2.33
Compute-Optimal Model Size ~287M parameters
Chinchilla Ratio (D/N) 20x

Compute-Optimal Training Guide

Using the Chinchilla formula N_opt = D / 20:

Tokens Available Optimal Model Size
1.317B (JamiiForums only) ~66M parameters
5.751B (This corpus, v1) ~287M parameters
20B (projected after full scrape) ~1B parameters

Use Cases

  • Swahili LLM Pre-training: Train a production-grade Swahili base model.
  • Cross-lingual Transfer: Fine-tune English LLMs (e.g., Llama, Mistral) for Swahili.
  • NLP Research: Sentiment analysis, NER, text classification, machine translation.
  • Benchmarking: Evaluate Swahili language understanding in multilingual models.

Licensing

This dataset is a compilation of multiple sources, each carrying its own license. Users of this dataset are responsible for complying with the terms of each individual source.

The table below summarizes the known licenses for each source:

Source License
JamiiForums (original scrape) CC BY-NC-SA 4.0
Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili CC BY-NC 4.0
Mollel/swahili_pretrain_data CC BY 4.0
Benjamin-png/swahili-normalized-corpus MIT
ngusadeep/Swahili-Corpus-Dataset Apache 2.0
Adeptschneider/CiviVox-Swahili-text-corpus-v2.0 Apache 2.0
mwitiderrick/swahili Apache 2.0
community-datasets/swahili_news CC BY 4.0
wikimedia/wikipedia (sw) CC BY-SA 4.0
karpathy/tinystories-gpt4-clean CDLA-Sharing-1.0
HuggingFaceFW/fineweb-edu ODC-By 1.0
ajibawa-2023/Python-Code-Large Apache 2.0

Note: Because this corpus includes data under CC BY-NC-SA 4.0 (the JamiiForums scrape) and CC BY-SA 4.0 (Wikipedia), the compiled dataset as a whole should be treated as non-commercial unless you exclude those specific sources from your use.


Contact

Curated by AlexLeoTz. If you use this dataset in your research, please credit the author and link back to this repository.

Downloads last month
659